Mnakaribishwa kwenye Tovuti ya Idara ya Kumbukumbu na Nyaraka za Taifa. Kumbukumbu na... Soma zaidi
Mkurugenziwa Ofisi ya Rais-Idara ya Kumbukumbu na Nyaraka za Taifa, Bw. Firimin M. Msiangi akiwa na Askofu Mkuu wa Jimbo kuu Tabora Kardinali Protase Rugambwa (kulia) wakimsikiliza Askofu Mkuu Mstaafu Paul R. Ruzoka wakati wa majadiliano juu ya historia ya Baba wa Taifa Mwl Julius Kambarage Nyerere namna alivyofanya kazi katika shule ya sekondari y...
Mkurugenzi wa Idara ya Kumbukumbu na Nyaraka za Taifa Bw. Firimin M Msiangi katika picha ya pamoja na aliyekuwa Askofu Mkuu wa Jimbo la Tabora Paul R. Ruzoka wakati alipofanya ziara jimboni hapo kwa lengo la kupata historia ya Baba wa Taifa Mwl Julius Kambarage Nyerere wakati alipokuwa akifanya kazi katika shule ya sekondari ya St Mary's kama Mwali...
Kikao maalum kilichoongozwa na Hayati Baba wa Taifa Mwl. Julius Kambarage Nyerere, akiwa na viongozi wa Serikali zote mbili, Serikali ya Jamhuri wa Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar mwaka 1985 Dar es Salaam