Mkurugenzi wa Idara ya Kumbukumbu na Nyaraka za Taifa, Bw. Firimin Msiangi akielezea majukumu ya Idara ya Kumbukumbu na Nyaraka za Taifa kwa kwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama wakati wa ziara ya kikazi kituo cha Kumbukumbu, jijini Dar es Salaam.