Mkurugenzi, Idara ya Kumbukumbu na Nyaraka za Taifa, Bw. Firimin M. Msiangi, akishuhudia uzinduzi wa Chama cha Wanataaluma wa Kumbukumbu na Nyaraka cha Malawi.
Mkurugenzi, Idara ya Kumbukumbu na Nyaraka za Taifa, Bw. Firimin M. Msiangi, akishuhudia uzinduzi wa Chama cha Wanataaluma wa Kumbukumbu na Nyaraka (ARMA) cha Nchini Malawi, alialikwa kwa nafasi yake ya Katibu Mkuu wa ESARBICA, ambapo Malawi ni mwanachama pia.
