Idara ya Usimamizi wa Kumbukumbu
Idara ya Usimamizi wa Kumbukumbu ina jukumumu la kuhakikisha kuwa mifumo ya usimamizi wa kumbukumbu, viwango na taratibu zinafuatwa na kuzingatiwa na ofisi za Umma kwa kujikita katika kutoa ushauri na maelekezo ya kitaalam kuhusu uanzishaji na usimamizi wa mifumo ya kumbukumbu katika ofisi za Umma