Idara ya Kuwaenzi Waasisi na Usimamizi wa Maktaba za Marais.
Idara ya kuwaenzi waasisi na Usimamizi wa Maktaba za Marais inashughulika na usimamizi, ukusanyaji na uhifadhi wa Kumbukumbu na vitu vya waasisi wa Taifa vyenye umuhimu wa kihistoria, vitu hivi viko katika taasisi mbalimbali za Umma na za binafsi na kwa mtu mmoja mmoja, pamoja na kukusanya na kuhifadhi kumbukumbu za marais waliopo