Idara ya Usimamizi wa Nyaraka ina jukumu la kuhakikisha kuwa kumbukumbu za thamani ya kudumu zinapatikana, zinalindwa, zinahifadhiwa na kupatikana kwa umma kwa ujumla kwa kuandaa na kusimamia utekelezaji wa sera na miongozo ya upatikanaji wa kumbukumbu kwa ajili ya usimamiaji sahihi wa historia ya Taifa