Kikao Kazi cha Mafunzo ya Mfumo wa Ofisi Mtandao, Ofisi za NIMR Dar es Salaam
Mkurugenzi Mkuu, Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR), Prof. Said S. Aboud, akitoa maelezo ya awali na kumkaribisha Mkurugenzi, Idara ya Kumbukumbu na Nyaraka za Taifa, Bw, Firimin Msiangi (hayupo pichani) kwenye Kikao Kazi kilichofanyika Ofisi za Makao Makuu NIMR, Dar es Salaam, tarehe 13/6/2023.