Matangazo
Taarifa kwa Umma, kuhusu Ziara ya Mhe Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Jenista Mhagama Kituo cha Kumbukumbu Kanda ya Ziwa Mwanza
Nyaraka zinazohifadhiwa katika Kituo cha Kumbukumbu Kanda ya Ziwa zinarahisisha utendaji kazi wa shughuli za Serikali katika Kanda ya Ziwa, tarehe 22 Februari 2023