Mkurugenzi, Ofisi ya Rais, Idara ya Kumbukumbu na Nyaraka za Taifa , Bw. Firimin Msiangi akisikiliza jambo wakati wa mafunzo ya sheria, Sera, Kanuni na Taratibu za utunzaji wa kumbukumbu za serikali, mafunzo yalifanyika katika ofisi za Halimashauri ya Mji Tunduma.