Matangazo
TAARIFA KWA UMMA FURSA ZA AJIRA KATIKA SHIRIKA LA MILIKI UBUNIFU DUNIANI (WIPO)
TAARIFA KWA UMMA
FURSA ZA AJIRA KATIKA SHIRIKA LA MILIKI UBUNIFU DUNIANI (WIPO)
Dar es Salaam - 11 Agosti, 2026
Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) inapenda kuwataarifu Watanzania kuwa Shirika la Miliki Ubunifu Duniani (the World Intellectual Property Organization - WIPO) limetangaza nafasi ya kazi ifuatayo: -
|
Nafasi: |
Mtunza Kumbukumbu Msaidizi (Assistant Archives Officer) |
|
Kitengo: |
Kumbukumbu na Nyaraka (Records and Archives Section, Knowledge Management and General Services Division) |
|
Mahali pa Kazi: |
Geneva, Uswisi (Geneva, Switzerland) |
|
Mwisho wa Kutuma Maombi: |
26 Agosti 2026 |
Watanzania wenye sifa wanahimizwa kutuma maombi yao kabla ya tarehe ya mwisho kupitia mfumo wa ajira wa WIPO. Kwa maelezo zaidi kuhusu sifa za mwombaji, majukumu ya kazi na namna ya kutuma maombi, tembelea tovuti ya ajira ya WIPO:
https://wipo.taleo.net/careersection/wp_2/jobsearch.ftl?lang=en
Imetolewa na:
Kitengo cha Habari na Uhusiano kwa Umma
