Tanzania emblem

Ofisi ya Rais

Idara ya Kumbukumbu na Nyaraka za Taifa

Building photo

Habari

Mkurugenzi wa Idara ya Kumbukumbu na Nyaraka za Taifa, Bw Firimin Msiangi akitoa mada kwenye mkutano mkuu.


Mkurugenzi wa Idara ya Kumbukumbu na Nyaraka za Taifa, Bw Firimin Msiangi akitoa mada kwenye mkutano mkuu wa 10 wa Chama cha Kitaaluma cha Menejimenti ya Kumbukumbu na Nyaraka Tanzania (TRAMPA) kilichofanyika, Arusha mwezi November 2022