Tanzania emblem

Ofisi ya Rais

Idara ya Kumbukumbu na Nyaraka za Taifa

Building photo

Habari

Kikao kazi cha siku tatu cha Watunza Kumbukumbu na Maafisa Rasilimaliwatu Serikalini tarehe 25/06/2019 jijini Dodoma.


Naibu Katibu Mkuu, OR-MUUB, Dkt. Francis Michael akiwa katika kikao kazi cha siku tatu cha Watunza Kumbukumbu na Maafisa Rasilimaliwatu Serikalini chenye lengo la kujadili masuala ya utunzaji wa kumbukumbu na nyaraka katika Utumishi wa Umma jijini Dodoma. Wa kwanza kushoto kwake ni K/MKNT, Bw. Firimin Msiangi