Tanzania emblem

Ofisi ya Rais

Idara ya Kumbukumbu na Nyaraka za Taifa

Building photo

Mafunzo Kazi ya kuwajengea uwezo Watumishi wa VETA, kuhusu matumizi sahihi na salama ya Kumbukumbu na Nyaraka Serikalini.


Mkurugenzi wa Kumbukumbu, Bw Athanas Kolokota akifafanua jambo baada ya Mtaalamu wa TEHAMA kutoka Ofisi ya Rais -  Idara ya Kumbukumbu na Nyaraka za Taifa, Bw. Dismas Mbando kutoa mafunzo ya nadharia na vitendo vitendo kuhusu Mfumo wa Ofisi Mtandao (e-Office Management System) kwa washiriki wa mafunzo ikiwemo  Timu ya Menejimenti ya VETA Makao Makuu - Dodoma kwa ajili ya kuwajengea uelewa kuhusu mfumo ili waanze kuutumia.