Tanzania emblem

Ofisi ya Rais

Idara ya Kumbukumbu na Nyaraka za Taifa

Building photo

Kituo cha Taifa cha Kutunzia Kumbukumbu Tuli chajengwa Dodoma


Kituo cha kutunzia kumbukumbu Tuli (Records Centre) ni jengo/mahali panapotumika kutunzia kwa muda kumbukumbu zilizofungwa, kwa usalama na gharama nafuu, wakati zikisubiri kufanyiwa tathmini ya kujua umuhimu wake na hivyo kuamua kuendelea kutunzwa, katika kituo, kuhamishiwa sehemu ya Nyaraka au kuharibiwa kwa kumbukumbu zile zitakazooonekana hazina umuhimu wa kudumu.