Tanzania emblem

Ofisi ya Rais

Idara ya Kumbukumbu na Nyaraka za Taifa

Building photo

Idara ya Hifadhi ya Kumbukumbu Tuli

Inashughulika na kukusanya, kuhifadhi na kutathmini Kumbukumbu tuli ili kubaini Kumbukumbu zenye umuhimu wa kudumu (Nyaraka) na zisizo na umuhimu kwa ajili ya kuteketezwa;