Habari
Ziara ya Mafunzo kwa Maafisa kutoka Serikali ya Botswana
Mkurugenzi Mkuu, Ofisi ya Rais Idara ya Kumbukumbu na Nyaraka za Taifa, Bw Firimin M.Msiangi akitoa maelezo ya kiufundi kwa Maafisa kutoka Serikali ya Botswana kuhusu Mashine za kudurufu nyaraka wakati wa ziara ya mafunzo Makao Makuu Dodoma.