Tanzania emblem

Ofisi ya Rais

Idara ya Kumbukumbu na Nyaraka za Taifa

Building photo

Habari

Watumishi wa Idara ya Kumbukumbu na Nyaraka za Taifa wakimsikiliza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama (hayupo pichani) wakati


Watumishi wa Idara ya Kumbukumbu na Nyaraka za Taifa wakimsikiliza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama (hayupo pichani) wakati wa ziara yake ya kikazi ya kuhimiza uwajibikaji kwa Watumishi hao jijini Dar es Salaam.