Ziara ya Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Deus Sangu
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Deus Sangu akisalimiana na baadhi ya watendaji wa Ofisi ya Rais-Idara ya Kumbukumbu na Nyaraka za Taifa alipofanya ziara ya kikazi ofisini hapo.