Tanzania emblem

Ofisi ya Rais

Idara ya Kumbukumbu na Nyaraka za Taifa

Building photo

Ziara ya Mafunzo kwa Maafisa kutoka Serikali ya Botswana


Mkurugenzi wa  Idara ya Nyaraka za Taifa ya Botswana (hayupo pichani) na Watumishi wake Wawili wafanya ziara ya Mafunzo ya Mfumo wa Ofisi Mtandao (e-Office) na kubadilishana Uzoefu katika Nyanja ya Utumiaji na Utunzaji Kumbukumbu na Nyaraka kwa Serikali ya Tanzania tarehe 20 hadi 24 Machi, 2023