Tanzania emblem

Ofisi ya Rais

Idara ya Kumbukumbu na Nyaraka za Taifa

Building photo

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama akizungumza na watumishi wa Idara ya Kumbukumbu na Nyaraka za Taifa (hawapo pichani) wakat


Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Jenista Mhagama amesema Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi, na Utamaduni (UNESCO) linatambua kuwa Tanzania kupitia Idara ya Kumbukumbu na Nyaraka za Taifa ina hifadhi kubwa ya nyaraka za utawala wa kijerumani.