Tanzania emblem

Ofisi ya Rais

Idara ya Kumbukumbu na Nyaraka za Taifa

Building photo

Uandaaji wa Mwongozo maalumu wa kutunza na kuteketeza kumbukumbu ya Wakala wa mabasi yaendayo haraka (DART)


Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Kumbukumbu na Nyaraka za Taifa Bw Firimin Msiangi(wa kwanza kulia)akiwa katika picha ya pamoja na Wajumbe wa kamati ya uandaaji wa Mwongozo maalumu wa kutunza na kuteketeza kumbukumbu ya Wakala wa mabasi yaendayo haraka (DART) baada ya ufunguzi wa kikao kazi kilichofanyika Mjini Bagamoyo