Tanzania emblem

Ofisi ya Rais

Idara ya Kumbukumbu na Nyaraka za Taifa

Building photo

Mkurugenzi Mkuu Bw. Firimin Msiangi achaguliwa kwa nafasi ya Katibu Mkuu wa ESARBICA


Picha ya pamoja ya Wajumbe wa Bodi ya “ESARBICA”, walioshiriki Mkutano Mkuu, katika Mkutano huo, Mkurugenzi Mkuu Bw. Firimin Msiangi alichaguliwa kwa nafasi ya Katibu Mkuu wa ESARBICA' tarehe 18-20 Juni, 2025 katika Jiji la Victoria Falls, nchini Zimbabwe.Picha ya pamoja ya Wajumbe wa Bodi ya “ESARBICA”, walioshiriki Mkutano Mkuu, katika Mkutano huo, Mkurugenzi Mkuu Bw. Firimin Msiangi alichaguliwa kwa nafasi ya Katibu Mkuu wa ESARBICA' tarehe 18-20 Juni, 2025 katika Jiji la Victoria Falls, nchini Zimbabwe.