Tanzania emblem

Ofisi ya Rais

Idara ya Kumbukumbu na Nyaraka za Taifa

Building photo

Mafunzo Kazi ya kuwajengea uwezo Watumishi wa VETA, kuhusu matumizi sahihi na salama ya Kumbukumbu na Nyaraka Serikalini.


Washiriki wa Mafunzo ya Mfumo wa Ofisi Mtandao (e-Office Management System) wakiendelea kufanya mafunzo kwa vitendo kwenye Mfumo wa Ofisi Mtandao kupitia Mtaalamu wa TEHAMA kutoka Ofisi ya Rais Idara ya Kumbukumbu na Nyaraka za Taifa, Bw.Dismas Mbando. Pamoja na Mkurugenzi wa Idara ya Kumbukumbu Bw Athanas Kolokota tarehe 13 Februari 2023 katika Ofisi za VETA Makao Makuu - Dodoma