Kikao Kazi cha Tatu cha Serikali Mtandao
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Deogratius Ndejembi akizungumza na washiriki wa kikao kazi cha tatu cha Serikali Mtandao wakati akifungua kikao kazi hicho jijini Arusha kwa niaba ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Jenista Mhagama kilichoandaliwa na Mamlaka ya Serikali Mtandao (eGA).