Hafla ya Utiaji saini mikataba ya Ushirikiano wa kiutendaji katika programu za Nyaraka za Kihistoria na Usimamizi wa Kumbukumbu na Nyaraka baina ya Oman na Tanzania
Mwenyekiti wa Mamlaka ya Kumbukumbu na Nyaraka za Kitaifa nchini Oman, Dr. Hamad Mohamad Al Dhuyan (wa pili kushoto) na Mkurugenzi wa Ofisi ya Rais, Idara ya Kumbukumbu na Nyaraka za Taifa-Tanzania, Bw. Firimin Msiangi (wa pili kulia) wakiendelea na zoezi la Utiaji saini mikataba ya ushirikiano wa kiutendaji katika Programu ya Nyaraka za kihistoria na usimamizi wa Kumbukumbu na Nyaraka baina ya Mamlaka hizi mbili uliofanyika 5/12/2024 jijini Dar es Salaam.