Tanzania emblem

Ofisi ya Rais

Idara ya Kumbukumbu na Nyaraka za Taifa

Building photo

Matangazo

Uzinduzi wa Kituo cha Kumbukumbu Kanda ya Ziwa-Mwanza tarehe 4 Oktoba 2021.


Kaimu Mkurugenzi Idara ya Kumbukumbu na Nyaraka za Taifa, Bw.Firimin Msiangi anautangazia Umma kwamba kutakuwa na Uzinduzi wa Kituo cha Kumbukumbu Kanda ya Ziwa Mwanza,utakaofanyika tarehe 4 Oktoba 2021 katika Ofisi za Kituo hicho,Mtaa wa Sabasaba Jijini Mwanza,kuanzia saa 3:00 Asubuhi

Mgeni Rasmi atakuwa Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais,Menejimenti ya Utumishi na Utawala Bora,Mh. Mohamed Omar Mchengerwa(Mb)

Wananchi wote mnakaribishwa.