Matangazo
Tanzia-Tangazo la Msiba wa Mtumishi wa Idara ya Kumbukumbu na Nyaraka za Taifa-Kituo cha Kanda ya Kaskazini-Arusha Bi.Joyce Aminiel Lewanga.
Mkurugenzi,Ofisi ya Rais,Idara ya Kumbukumbu na Nyaraka za Taifa,anasikitika kutangaza kifo cha Mtumishi wa Idara-Kituo cha Kanda ya Kaskazini Arusha, Bi.Joyce Lewanga,kilichotokea katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili Alfajiri ya tarehe 1/12/2021.
BWANA alitoa, na BWANA ametwaa; jina la BWANA na libarikiwe, Amina.