Mkurugenzi wa TEHAMA wa Mamlaka ya Kumbukumbu na Nyaraka ya nchini Oman, Sultan Bin Ali Talib Al Kharusi, (wa pili kulia) alipotembelea Ofisi ya Idara ya Kumbukumbu na Nyaraka za Taifa Kanda ya Mashariki Dar es Salaam, tarehe 23 Aprili, 2024, watatu kutoka kulia ni Mkurugenzi wa Ofisi ya Rais-Idara ya Kumbukumbu na Nyaraka za Taifa BW. Firimin Msi...